161 Usiku uingiapo

1. Usiku uingiapo, umwaze Mungu Mkuu, aendeshaye dunia kwa mwendo mtulivu.   

2. Kwa nini wahangaika usiku namchana? Umtwishe huzuni yako aliyekuumba.   

3. Kwake haujapunguka uwezo na msaada. Atayatimiza yote aliyoyaanza.   

4. Ukamwachie kutenda atakalo kwako! Kwa hiyo ulale raha na kufurahiwa.

Comments

Popular posts from this blog

157 Kijito cha utakaso

155 Hapana rafiki kama Yesu

153 Nimepita ulimwengu