157 Kijito cha utakaso

  1. Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu, Bwana anao uwezo kunipa wokovu   Kijito cha utakaso, Nizame kuoshwa humo Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso   

2. Viumbe vipya naona; damu ina nguvu, imeharibu uovu ulionidhulumu   

3. Naondoka kutembea nuruni mwa mbingu, Na moyo safi kabisa kumpendeza Mungu.   

4. Ni neema ya ajabu kupakwa na damu; na Bwana Yesu kumjua Yesu wa Msalaba.

Comments

Popular posts from this blog

155 Hapana rafiki kama Yesu

153 Nimepita ulimwengu